Klabu ya soka ya Yanga SC inapenda kutoa taarifa juu ya safari yake kuelekea Zambia katika mechi ya marudiano dhidi ya Zanaco FC.
Msafara wa wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi unaondoka jioni hii saa 11:15 kwa ndege ya shirika la Kenya Airways.
Wachezaji wanaondoka ni Makipa; Deogratius Munishi na Ali Mustafa .
Nafasi ya ulinzi ni ; Nadir Haroub , Vicent Bossou , Juma Abdul , Vicent
Andrew, Oscar Joshua , Mwinyi Haji, Hassan Kessy na Kelvin Yondani.
Nafasi ya viungo ni; Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima,Saidi Makapu, Deusi Kaseke, Juma Saidi, Justine Zulu, Juma Mahadhi, Saimoni Msuva na Geofrey Mwashuiya. Upande wa washambuliaji ni Obrey Chirwa na Emanuel Martin.
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali zikiwemo majeruhi ; Malimi Busungu,Beno Kakolanya, Mateo Antony , Pato Ngonyani , Amisi Tambwe , Yusufu Mhilu na Donald Ngoma.
Imetolewa na idara ya habari na mawasiliano; Young Africans SC
15.03.2017

0 comments:
Post a Comment