Sunday, 19 February 2017

MASHABIKI MWANZA MJINI KUFUNGUA TAWI LA YANGA ENEO LA MWANZA MJINI MAARUFU MTAA WA RUFIJI

On : 11:57
Mashabiki na wakereketwa wa timu ya Young Africans maarufu Yanga au Wazee wa kampa kampa na hii inatoka na ile staili yao kupeana pasi za hapa na pale.
Kikao hicho kikiwa cha pili kimefanyika kwenye ukumbi maarufu wa burudani ile ya kuonesha mipira unaojulikana kama Madega. Huku kukiwa kumeudhuliwa na mashabiki wenye nia ya kuanzisha tawi hilo litakalojulikana kama: (TAWI LA YANGA MWANZA MJINI)
Pamoja na Ajenda hizo pia alikuachwa nyuma swala la mechi ya watani kati ya Yanga SC na Simba SC huku Mashabiki wa Yanga waliofika kwenye mkutano huo wakionesha hali ya furaha na uchangamfu na kujadili mambo mawili matatu juu ya kumuangamiza mnyama..
Yanga Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Yanga Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Baadhi ya picha za wanachama wa TAWI LA YANGA MWANZA MJIN
 Baada ya kikao wanachama waliamua kujiachia kwa kupiga mapicha

0 comments:

Post a Comment